Wednesday, September 26, 2018

matokeo ya ualimu 2018/2019/ diploma teachers examination results 2018/2019

matokeo ya ualimu 2018/2019/ diploma teachers examination results 2018/2019 congratulation teachers


may be you missed your matokeo ya ualimu 2018/2019 diproma teachers examination results 2018/2019 if yes you can get them from here https://www.necta.go.tz/results/2018/dsee/dsee.htm
First of all congratulation for good performance dears teachers. No doctors without teachers hahaha but also no teachers without doctors who care your health right? this like the story of "the egg and the chicken" who was born first. You can drop your comment below and share this post on facebook twitter by clinking share buttons at the end of this post.
 Matokeo ya ualimu 2018/2019 diproma teachers examination results 2018/2019

Daer fellow teachers after getting your matokeo ya ualimu 2018/2019 diploma teachers examination results 2018/2019 now Hapa kazi tu. Hata ukipangiwa kijijini kapige kazi usianze kuleta ushalobalo wa kuchagua vituo right! kuna tatizo kubwa la ajira Tanzania vijana wengi hawana ajira miaka kumi na zaidi toka wahitimu masomo yao ya vyuo vikuu sasa usianze kuleta mapozi eti nimepangiwa porini mi siendi kuripoti kama hutaki basi tafuta mtaji uanze kuakanga chipsi ili ukae mjini sawa. wenzio wataitumia hiyo nafasi na wataenda kufundisha huko unakoita porini. Hii miaka si ya kuchagua vituo wahenga wa siku hizi wanasema vyuma vimekaza. Mshukuru mungu umebahatika kufaulu mtihani wako na ukipata kituo cha kazi hata kiwe mpakani mwa burundi wewe ni wa dar es salam achana na starehe za jiji nenda huko kakonko ukafundishe watanzania kama wewe. You are now real good teacher, please use all skills and knolege to transfer them to our beloved kids. God will pay you dear teachers.

Sasa mwalimu je unajua kuwa unaweza kutengeneza pesa za ziada zaidi ya mshahara? hapa nataka nikufundishe mbinu zote lakini leo nitakudokeza chache tu kwanza jiunge na mtandao wa www.jamaaonline.com kwa kubonyeza hapa kisha weka taarifa zako kama username email na bonyeza lets go kufungua akaunti ndani ya dakika moja tu. Ukishamaliza fungua page au ukurasa kwenye mtandao huo wa www.jamaaonline kisha anza kufundisha wanafunzi somo lolote kwenye page yako hapo tayari umejiajiri kwakua kila like unayopata kwenye page yako ni pesa maelezo zaidi utayapata kwenye mtandao huo wa www.jamaaonline.com now teachers can make more money apart from salary please share this post to other teachers so that they increase their income and improve their lives so that they teach well our children without life stress. We love teachers and we need teachers in the world No teachers no doctors right! the end  of matokeo ya ualimu 2018/2019 diploma teachers examination results 2018/2019 post , education is the key of life share it below

Saturday, September 1, 2018

Muhimbili University of Health and Allied Sciences-MUHAS Selected Applicants 2018/19

Muhimbili University of Health and Allied Sciences-MUHAS Selected Applicants 2018/19. We need doctors

Congratulations dear applicants who got chance of joining university 2018/2019. Sasa ndugu zangu kuna mambo makuu ya kufanya ili muweze kufanikiwa katika safari yenu ya elimu ya juu. Please read this article to the end I have good message to you right!

Currently, MUHAS University Undergraduate Selected Applicants 2018/2019 has not yet been released , Kindly check this page later for we shall update the list when released officially.

Muhimbili University of Health and Allied Sciences-MUHAS Selected Applicants 2018/19

Applicants with multiple admissions 2018/2018 you need to confirm very soon where you prefer to study and which course you wish you graduate. In selecting the best choice please consider how you will get job or employment from that course.

Loan for higher education students 2018/2019 Dear student if you applied for higher education loan and you get it please make sure you spend the loan as planed. Do not start buying subwofer, Tv and enjoying in Night clubs you will discontinue, use the money to buy study material and other accademic uses right?

Now Let me teach you how you can start your own investment while you are in university, Ukiwa chuo unaweza kuanza kujiajiri kwa kutumia simu yako au kompyuta yako au kompyuta za chuo. Ni rahisi sana kujiajiri na huhitaji kutumia muda mwingi kwa siku kufanya kazi hii kwani tunajua pia ukiwa chuo muda mwingi unatakiwa kuutumia kwa masomo na sio vitu vingine. Katika uwekezaji wa kwenye mtandao unahitaji nusu saa tu kila siku iendayo kwa mungu kufanya kazi hii. Kazi yenyewe ni kumiliki blog/website ya kutoa elimu au kutoa burudani mtandaoni. Blog yako inaunganishwa na matangazo ya kukulipa maishani kwa idadi ya wanaosoma blog yako.Mfano blog ikisomwa mara milioni unalaki 5. Kupata blog muda huu tuma sms whatsapp 0652428852 au tuma sms za kawaida kwa namba hiyo hiyo blog ni sh elfu 25 tu. na unalipia baada ya kupata blog. Mafunzo yanatolewa bure kwenye mtandao wa www.jamaaonline.com. This is how you can get money for spending in your university but do not use the money you get from loan board. Simple investment is to get blog today.

If you study psychology in your you will teach people online, if you study education, engineering, sociology,development studies, English, history, geography or any course you have chance to start your online school that is blog or website and when you complete your studies you will have a blog or website that provides you more than laki tano per month Share this post to your friends students in students groups on facebook and whatsapp so that we create the community that have proper education and good income. Thanks for sharing