Saturday, November 10, 2018

Matokeo ya kidato cha nne 2018 yatangazwa?, Let us get better education

Matokeo ya kidato cha nne 2018 yatangazwa?, Let us get better education

Necta results 2018, Form four Necta results 2018, Form four Necta results 2019, F.IV examinations 2018, Matokeo ya form 4 2018 congratulations form four students 2018 for reaching this important education level


Matokeo ya kidato cha nne 2018 yatangazwa?


News, Je unajua kuwa mtandao wa www.jamiihuru.com unakulipa ukiandika mada au insha nzuri kwenye mtandao huo? Pia unalipwa ukiwaambia marafiki wajiunge na mtandao wa jamaa online Juinge muda huu ni dadika mbili tu na ni bure maishani mwako bali wewe ndiye utakuwa unalipwa ukiwa unaandika makala za kufundisha jamii au kuwaambia marafiki wajiunge na mtandao huo. 


We are now form four leavers, upo nyumbani unasubiri Matokeo ya kidato cha nne 2018 yatangazwa? muda huu hakikisha unakuwa bize kusaidia wazazi kazi, kama unaishi na walezi make sure you help them. Pia unaweza kutafuta vibarua vya kufanya kwa muda wakati unasubiri matokeo ya kidato cha nne 2018/2019

Dear form four leavers do not join gang mobs, Msijiunge na vikundi vya wavuta bangi mkizani sasa elimu ndio mwisho, Tengenezeni kesho yenu iliyonzuri, hata kama ukifeli mtihani wa kidato cha nne e 2018 si mwisho wa maisha ili mradi kama ulionesha nia ya kufaulu inatosha, Ikitokea matokeo hayakuwa mazuri tafuta alternative ways za maisha, mfano unaweza kurisiti mtihani au kujiunga na vyuo vya ufundi.

Dear parents and guardians of form four students 2018 we know our children these days complete form form IV education level when they are in young age so wanahitaji bado ushauri wenu na malezi yenu ili watoto hawa wasiharibikiwe na maisha. Endeleni kuwalea kama mlivyowalea toka elimu ya awali mpaka sasa.

Otherwise we wish you all the best in your form four examinations 2018 and waiting for form four examination results 2018/2019. Keep waiting www.necta.go.tz for Matokeo ya kidato cha nne 2018 yatangazwa?



0 comments: